Nenda KAMPUNI ya ulinzi ukajieleze vizuri wanachukua kuanzia darasa la 7, kidato cha Nne na kuendelea, uwe na viambatanisho vyote vinavyohitajika bila kusahau cheti cha alama ya vidole kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani hata km haujapitia JKT au JKU kuna short training utapewa then utapewa kazi ufanye.
Kingine uwe umefanya kazi hio kwa mda hata kwa mtu binafsi ndio wanaweza wakakufikiria namaanisha uwe na experience ya kufanya kazi ya ulinzi at least mwaka 1/2/3 sio unaenda mtupu huna experience yoyote ya hio kazi.