Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.
 
Now imekua tofauti wengi akina nyie mnajivutia hata kama mshikaji kachoka
 
Mmmh wengine kwa ishara utajua tu,kama yupo kitandani utaona anakaa mapozi ya kutega anakuwa ana smile kukuvutia
 
ah kwa mwanamke hamnaga kuomba kwa kuongea,kama maneno unashindwa hata vitendo?!.kitendo cha kukaa kimitego tego,mara umejishka hapa mara pale,macho yamelegea huku unampapasa dushelele!! .mwenyewe ataelewa tu!
 
Akinadada wengi ni madomo zege ndiyo maana hawa wezi kuomba .
 
Mimi ananifahamu kabisa mshipa wa aibu niliuzika zaman tena sio kwenye makaburi ya makumbusho.

ananielewa nikitaka ooh mara moja napata namwambia tu kama hayuko kwenye mood ntamchokoza weee had mike itaamka yenyewe kinachofuata hapoo ni balaa yan inakuwa kama yeye ndio aliyeanzisha.

huhuhuhuuhuhuuuuu makubwa haya jaman looo!!!!
 
ah kwa mwanamke hamnaga kuomba kwa kuongea,kama maneno unashindwa hata vitendo?!.kitendo cha kukaa kimitego tego,mara umejishka hapa mara pale,macho yamelegea huku unampapasa dushelele!! .mwenyewe ataelewa tu!

hahahaaaaa! Aiseee duuu!
 
Hiyo haipo,labda wa kabila lile wanaotumia dog wanaosubiri kupigwa mtama ndiyo wagegedwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…