Kwanini akinadada hatuwezi kuomba gegedo...?

Kwa nini ushindwe?
Kama huwezi kusema hata vitendo????
 
Mbona hii mada mmeenda nayo mno kwenye mrengo mmoja, tofauti na kichwa cha habari...

Mna ushauri gani kwa jinsia KE.......wale wasio kwenye ndoa...au wapo mbali na wenza wao....tuchukulie mfano hai...waliopo kwenye bunge la katiba..?

Kwa wanaume ni rahisi coz wapo "wanaouza" a.k.a CD.....hivyo wanaenda na kujisevia kwa pesa zao....vipi kwa jinsia KE akihitaji kutoka kwa mjumbe mwenzake au jinsia ME aliye kwenye mazingira yake ?
 
kuna siku kulikuwa na game ya uefa, nikawa na nacheki sebuleni! gafla mamsap akaita kutokea chumbani "......vp hiyo mechi ngapi ngapi? nikamjibu bado bila bila, njoo mara 1 uwaonyesha jinsi ya kuscore! nilipoenda sikurudi tena sebuleni!"
slim5 umenchekesha hukurud
 
Last edited by a moderator:
omben bhana c haki yenu au!!!!!!!!
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu. me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.
Pepo toka toka toka tokaaaaaaaaaaaaaaa! Rakasio babababababababababababa...........
 
Ukijiona una muda wa kufikiria 'kuomba mgegedo' basi ujue hamu haijakufika pomoni.
 
sio uongo wala utani wanawake wengi wahanga wa hili unakuta mdada anatamani gegego ila kumwomba mumewe au mpenzi wake anaogopa anaona aibu.
me mwenyenye nilikua mhanga wa hili jambo ila kwa sasa najitosa nikitaka mzigo naomba kama kawa.


Nitafute basi.
 
msijiongelee ambao mnaishi pamoja na wale walioko mbalimbal hadi kusubiri kutegana leo we kwenye simu humo humo
 
me mpnz wangu kama yuko mbal namcall 2 honey leo wah kurud mana nakuhitaji nina ny-g-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…