Kwanini Ali Kiba hafahamiki nje ya Tanzania?

Wengine tupo online kugoogle jinsi ya kutumia hela make hela zipo afu sijui nizifanyie nini 😀
Anaishi kwa kukariri huyu anadhani jinsi yeye anavyotokwa na mijasho kuipata tsh 5,000 kwa siku basi anadhani wote tuko kama yeye.
 
Mkishapata kazi ya kuuza maduka ya wahindi mnajiona mna bonge la ajira, kabacholi hakupi hata dk ya kushika simu
Tafuteni kazi za kufanya sio kupoteza muda kufuatilia maisha ya watu...
 
Kwakuwa katika social media huwa mnaangalia mtu ana followers kuonyesha kukubalika. .mtoa uzi nakupa home work. ..tuambie kiba ana followers wangapi? Instagram kajiunga lini? Katoa nyimbo ngapi tangu arudi rasmi. .ukija na majibu kamili ndo utajua kwanini huyu wanamuita king
 
pumba!
 

alienda wapi?
 

DR Congo anafahamika hasa hapa GOma anafahamika japo sio kama Diamond kwenye club wanapiga miziki yake ... yaani kama watabiga miziki minne ya Mondi basi alikiba walau watapiga mmoja tena wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…