Kwanini Ali Kiba hajaonekana kabisa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale?

Kwanini Ali Kiba hajaonekana kabisa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale?

Sela Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,120
Reaction score
7,317
Hellow wadau mambo vipi.

Unajua Nini nilikuwa nacheki TV dakika kadhaa zilizopita nikamona Ali Kiba na wimbo wake. Basi nikakumbuka kitu huyu Ali sijasikia akitoa pole, rambirambi wala kufika mazikoni.

Je, ana shida gani? Sio umbeya but ye ni star lazima tuulizie. Au vipi wadau?
 
Back
Top Bottom