Kwanini Ali Kiba hajaonekana kabisa kwenye msiba wa mke wa Babu Tale?

Alionekana sema hapendi kujionyesha hivyo alikuwa INVISIBLE.
 
Ye si ni King!! Sasa anakosaje banaa!!
Wewe ni shoga? Kama ni shoga sirudii tena kujibizana nawe maana siwapendi mashoga, kama sio shoga jitahidi kuandika kiume
 
Waswahili hamkosagi sababu, kazi kupangia watu namna ya kuishi.

Haya angeenda bado msingekosa chakusema ooh mbona hajashika sanduku,

Angeshika sanduku bado msingetosheka, mngesema tena mbona hajachimba kaburi.

Haijalishi awe diamond, kiba, au msanii yeyote au mtu yeyote ishi maisha yako kapuku,

Furahia nyimbo zao, achana na maisha yao.

Ukiona unaona kasoro nyingi kwa watu jua wewe ndio una matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…