GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Feb 27, 2025 #1 ONYO kama huu Usimba na Uyanga tumeanza Kuuingiza na katika Mambo mengine tusije Kulaumiana hiyo Oktoba Oky?
ONYO kama huu Usimba na Uyanga tumeanza Kuuingiza na katika Mambo mengine tusije Kulaumiana hiyo Oktoba Oky?
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,266 Reaction score 4,057 Feb 28, 2025 #2 GENTAMYCINE kwani hizo tuzo zilihusiana na mpira mkuu?
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Feb 28, 2025 #3 Kwasababu Ali Kiba ni underground
Nyoka kibisa JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 568 Reaction score 1,507 Feb 28, 2025 #4 Alikiba hapendi show off.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Feb 28, 2025 #5 Hawezi live band,baadae ya kuona wenzeke wanavyo aibika