khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Kaonyesha uzaifu wa hari ya juu sana....japo kwa upande wake aliona kama ata pata sympathy kwa wananchi lkn cha ajabu wakamgeuka na kumuona kiba shujaa wa mchezo.....so kama mtu mzima mwenye akili zake atakuwa kajiongeza next time asizungumzie kabisa swali lolote linalomuhusu kiba....domo katuaibisha sana sisi mashabiki zakeebu jiulize kwann diamond anataka ilo beef liishe kwa wakati huu?!! mda wote alikuwa wapi sasa hivi ndio ajifanye hana beef na mtu?!....dai bwege tu amuache kiba afanye yake na ameshamwambia kua hataki mazoea
Domo hafaidiki na beef coz kavuma bila mgongo wa beef na msanii yyt....lkn kiba kaonesha uthubutu wa mziki baada ya kurudi kwa mgongo wa beef na mond....imagine beef liishe leo kuna mmoja apo atapoteza mashabiki wengi sana kuliko mwenzake.....uamini au usiamin lkn huwo ndo ukweliKama alikiba anategemea mgongo wa diamond kufanikiwa basi diamond aache kumuongelea Ali katika page zake za mitandaoni au hata katika interview zake tena kila swali linalohusu Ali asiwe analijibu
Pia diamond awakanye wana team yake wache kumpost au kumuongelea Ali katika kila jambo
Ili tuone je diamond Ana ushawishi gani kwenye muziki wa Ali
Akili zingine zingepimwa uzito zisingefika hata gramJay z anamtandao unaitwa Tidal..kwani wanamuziki wote wanapeleka kazi zao...Kiba wasikuzoee mazoe ....Diamond ameshamaliza collabo na wasanii wote wa Kali Afrika....Downfall mark my words
unawooona mambo haya!UShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
[emoji14] [emoji14] [emoji14]Mie hata iweje kiba simkubali
Bifu lenyewe we unalijua au na ww ni kama upepo alafu kumbuka kiba hakua kwenye gem mda frani we unajua nn alikua anafanya au alikua wp kwani kunaulazima gani wa mtu na mtu kufatana au kua pamoja kila mtu ana maisha yake kwani kila mtu akifanya yake kuna nn kitatokeaTatizo lake huwa hapendi kujishusha inapobidi ili apate zaidi, mwenzake anajua anapotaka kwenda, hivyo nyakati fulani anapohitajika kujishusha hufanya hivyo ili apate hatua zaidi, hapo ndo D anapomzidi mwenzake, anapenda kujifunza.
D haoni aibu kujipendekeza Kwa mtu ambaye anahisi amemzidi na anaona atapata kitu kutoka kwake, lakini mwenzake hapendi kujishusha anapenda kujiweka juu tu muda wote, hili linampotezea fursa nyingi, mfano angalia tu akaunti zao za IG itakupa picha ya ninachoongea, yeye anajiona ana umaarufu wa Beyonce.
Ally Alipaswa kuwa mbele ya D kwa sababu alianza gem na alitoka muda mrefu, lakini imekuwa tofauti kwa sababu ya kuridhika mapema na kutotaka kujipendekeza kwa walio mbele yake.
AJISHUSHAE ATAKWEZWA NA AJIKWEZAE ATASHUSHWA [emoji125][emoji125]
Wala ata asimalize afanye mambo yake aachana na domo densa yuleUShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
Daaah watu wanamaneno iv nataka nijue domo anakipaji na ni msanii mkubwa kama usemavyo anamtafuta mazungumzo kiba wa nn au anamchango gani katika maisha yake au d bila kiba haishi au ni nn hasa sijaelewaNimeona kipande sio vibaya kukaribisha wateja kwake, ndio inabidi awe hivyo kama huyo mmoja hajiungi wasafi.com basi jua anavutia wengine wemgi wajiunge nae bila kuonyesha dharau.
Ametumia akili sana sana, anajua yupo juu ya wote ila imebidi awape nafasi walio chini yake wajiunge.
Akili nzuri sana kusaka pesa, huku anajua yule kiba lazima awe mbishi sababu bila yeye hapati chakula.
Na tunaona kiba hana mbele wala nyuma hadi sasa, tangu 2015 bado anajisukuma.
Ni kweli ww unaweza ukawa umeiona kesho[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85]Ila kuna kitu kiba kakiona kwa Mondi" msishangae Mondi anajiweka sawa kiuwekezaji "financially" analalamika sana kuhusu malipo na wizi wa kazi za wasanii.
Ni hiv Mondi anajua kabisa wabongo hua wanatabia yakumzoea mtu hasa anayefanya makubwa na inafika stage watu wanamchoka" au wanaona kawaida hata afanye nn ndio point aliyoko Mondi sahv yani hata atoe collabo na Jay Z stil watu wataona fresh 2..normal yani japo ni "ndoto"
Kama P Funk alivyomshauri juzi EAtv Mondi anatakiwa atake time atengeneze kumisiwa flani na mashabiki hyo ndio itasaidia"
Kiba kashaona hicho kitu ndio mana hataki suluhu maana ataonekana baada ya kupata suluhu ndio katusua zaid bt anataka vle vle kwa kukaza kwake atoboe kwa njia zake.
Kiba ananafasi kubwa sana now. Atumie akili 2 na asikae kae kise afanye kazi haswaa
Mmmmmh Ila wa TZ wanamatusi hatariiHabarini wakuu
Nimetokea kushangaa sana kuona Alikiba baada ya Diamond kuonekana akizungumza kwamba hana tatizo na kiba naye kiba kaonesha katika mtandao wake wa Instagram kwamba hajaridhia kabisa ili bifu lije liishe.....
Ni kwann alikiba hataki liishe kwani annufika kwa kiasi gani na jee inamaanisha hawezi kusonga bila ya bifu!
View attachment 481074
Daaah watu mlifunzwa na nani kuongeaJuzi tu alisema "Ali anavaa Pete ya kijani" alafu akasema "anajisifa sauti wakati hana hela anaishia kukauka makoo tu."
Atujakaa vzuri akarusha dongo "wao waki-post tembo ye ana-post show" alafu hatujakaa vzuri akatamba "waambie dada zao wa kariakoo waje ulaya."
Mara ghafla wakaigizia kilichofanyika Mombasa kwenye ile video ya Rich Mavoko.Baada ya Ali kufungua account ya Vevo akarusha madongo kuwa walio Vevo wote hawapati hela kama anayopata yeye wanadhulumiwa na watu wa kati.
Ali alikuwa katulia tuli anamuangalia anavyopaparika...Sasa yamemfika shingoni anakimbilia kwenda kuomba huruma ya wananchi.
Hapa hakuna kuoneana huruma wala hakuna mazoea tusije zoea majini....Unaanzisha ugomvi wa mawe wakati unakaa kwenye nyumba ya vioo.
Ana mtajilisha mond ndo aje.kwani wasafi ni bosi wa mwisho ni nani naomba nijueKwani mkito ni international? Mbona web ya wasafi imekaa vzr na manunuzi ni simple zaid ya mkito.
Sema ni vile atamkazia coz anajua ni kama kumtajirisha mondi
Kwavyovyote vile mondi ndio top" Nadhani kwa kila nyimbo iliyoko mule ana % yakeAna mtajilisha mond ndo aje.kwani wasafi ni bosi wa mwisho ni nani naomba nijue