Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

Mwacheni kiba wetu kwanza ye ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wote Afrika.Sauti yake hata Celine Deone hamwezi
 
Bifu hilo ndo limemufikisha hapo alipo sasa , alikuwa ameshakuwa mvuta bangi mkubwa na mtafunaji mzuri tu wa mirungi
 
Msimamo wa na maadili ya kiba tofauti na mond xo msilazimishe maji kupanda mlima
 
Ally kiba ana roho mbaya, anajisikia mmmnoo....!!!
 
We umekurupuka usingizini au mbona kama macho yako hayaoni mbali
 
Boya huyo hajui mziki mtu anaemsifia kila kila nyimbo anarudia melodi sasa mashabiki wake wanaakili kweli au wanajua mziki kweli
 
Mwacheni kiba wetu kwanza ye ndo msanii mwenye mafanikio kuliko wote Afrika.Sauti yake hata Celine Deone hamwezi
Na kudance pia anaweza, yan mambo aliyofanya kwenye 'aje rmx' c ya nchi hii, ile video haichoshi kuiangalia, ni mtazamo wangu tu.
 
Ujue kuna vitu watu hamjui kila anachopost kiba mnamhusianisha na nasib ila ukwel ni kwamba hayo maneno yko kweny wimbo wake mpya,new song alert hyo


Kebe kebe,all the way
 
Ali kiba BG UP sana diamond choko t kwanza voice hana hat mvut wa usanii han as sjui anajion star kwa kip au kwa sabab F M A ndoo inamtangaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…