nyambulinyambuli
Member
- Mar 13, 2017
- 9
- 9
Hahahahaaaaa!Ali Kiba ndio yupi huyo wakuu? Au ndio miongoni mwa wale waliovuliwa uanachama wa CCM juzi Dodoma?
Ukileta 'link' ya taarifa nilitoinukuu na kuijibu nami nitakuleteatupe source au link cyo story za kwenye kahawa
Acha kukurupuka dogoUShabiki mwingine ni shida domo si ndio alianza bifu sasa anataka liishe ili iweje .kilichomfanya babu tale azime mic kule mombasa nini .ungekuwa wewe ungelimaliza hilo bifu? Hapo kuna jambo la hatari litakuja kiba usikubali ng'oooo
HahahaaaaaMhhh! Ndugu unaishi Darisalamu kweli? Mi siyajui ya huko hebu nihadithie basi Diamond alianzishaje Bifu, kumbe Babu tale alizima mic mombasa, ilikiwaje? Haya mambo yanasikitisha kweli kweli, kwanini wanafanya hivyo lakini dah!
Enzi za Cinderela,Nakshi Mrembo,Run Dunia,Dushelele Enzi hizo anaimba na R.Kelly huyo Dimond na Wema walikuwepo!?Hakunaga mashabiki wa kiba kuna mashabiki wa wema na mondi! subil siku mondi na wema warudiane uone kiba anavyobaki mweupe
Kumbe zote izo zake[emoji14] [emoji14] na uyo R. Kelly ndo nan[emoji5]Enzi za Cinderela,Nakshi Mrembo,Run Dunia,Dushelele Enzi hizo anaimba na R.Kelly huyo Dimond na Wema walikuwepo!?
Unataka kusema Enzi hizo hakuwa na mashabiki eboooo
Jay z anamtandao unaitwa Tidal..kwani wanamuziki wote wanapeleka kazi zao...Kiba wasikuzoee mazoe ....Diamond ameshamaliza collabo na wasanii wote wa Kali Afrika....Downfall mark my wordsSikumbali diamond, ila kiba ana dharau sana na jeuri, anaficha uchafu wake kwa upole wake
Una miaka mingapi?Domo Jana kasema show yake ya kwanza England alimpigia simu King Kiba akamuulizia jinsi ya kupata visa...King kitamboo anatomba mawinguHakunaga mashabiki wa kiba kuna mashabiki wa wema na mondi! subil siku mondi na wema warudiane uone kiba anavyobaki mweupe