Kwanini Alphabet "I"/ài/ Kwenye plate number za magari haipo?

Kwanini Alphabet "I"/ài/ Kwenye plate number za magari haipo?

Nyarupala

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2024
Posts
494
Reaction score
856
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number?

Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T 567 DJJ au EJK au vyovyote lakini heru I/ài/ huwezi kuikuta.

mafano huwezi kukuta gari lina usajili wa namba T 567 AIK au BIK au EIL. kwanini hii herufu huwa haipo?
 
Back
Top Bottom