Kwanini amebadilisha password ya Netflix?

Kwanini amebadilisha password ya Netflix?

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,553
Reaction score
2,380
Haya maisha tu, kuna leo na kesho. Huwezi kujichukulia uamuzi wa kubadilisha password ya Neflix huku ukijua watumiaji wake ni wengi. Kama ungetaka kutumia tu mwenyewe bila usumbufu usingetuunganisha kuanzia mwanzo.
 
Mbona hueleweki
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu yupo humu si ungemfata kumwambia mwenyewe
 
Pole Sana mkuu huku manzese
Mke wa jamaa etu anabadilisha Chanel siku tukiangalia mpira kwake anafanya hvo na jamaa etu sule akiwepo
 
Unataka cha bure huchangii hata 100 bora kakubadilishia password jiunge yako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom