Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nadhani jambo la muhimu zaidi lipo hapa, kuna kila sababu bunge kurekebisha hii sheria swala la adhabu ya kunyonga mpaka kufa kwa watenda makosa yenye kuhitaji hii adhabu halipaswi kuwa uamuzi wa Rais.Kwanini mahakama ikisema isiwe mwisho kama zilivyo adhabu nyingine?
Kumbuka magereza hayapo chini ya Mahakama bali yapo chini ya Serikali, na mkuu wa magereza ni mteule wa rais, na rais ndiye anatakiwa atoe amri ya kunyonga ndipo magereza watekeleze.Nadhani jambo la muhimu zaidi lipo hapa, kuna kila sababu bunge kurekebisha hii sheria swala la adhabu ya kunyonga mpaka kufa kwa watenda makosa yenye kuhitaji hii adhabu halipaswi kuwa uamuzi wa Rais.
Ni lazima mahakama ipewe mamlaka kamili ya kuwa mwanzo na mwisho wa kuamua adhabu ya kunyongwa kwa mtenda makosa na sio chombo kingine nje ya mahakama.
Sheria namba ngapi inasema hivyo ?Kumbuka magereza hayapo chini ya Mahakama bali yapo chini ya Serikali, na mkuu wa magereza ni mteule wa rais, na rais ndiye anatakiwa atoe amri ya kunyonga ndipo magereza watekeleze.
Kwa hiyo usidhani kwamba magereza na rumande vipo chini ya Mahakama.
Inasema nini?Sheria namba ngapi inasema hivyo ?
Hicho ulicho andika.Inasema nini?
Ni mawazo yanguHicho ulicho andika.
Uzi umepata jibu ufungweajue mpiga kura mmoja hatakuwepo, ajiongeze
Kumbe ni wazo lako sio sheria, basi peendekezo langu lina maana sana.Ni mawazo yangu
Rais haendeshi mashtaka yeye husaini tu kibali kwa mamlaka na kwa mujibu wa sheria.. Mambo mengine yote yanakuwa yameshafanyika huko chiniRais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini mahakama ikisema isiwe mwisho kama zilivyo adhabu nyingine?
Kuna ulazima gani wa Rais kupitisha adhabu ya kunyongwa?
Ndo maana Magu kipindi kile cha kuziia safari alisema kuna mzizi umeenda chini zaidi ya mingineRais anajua nini kuhusu masuala ya sheria na adhabu? Rais anataka kuonekana mwema kwa raia wake, na rais anayenyonga hawezi angaliwa vizuri sana. So rais anayejielewa hawezi kunyonga mtu. Kwanini mahakama ikisema isiwe mwisho kama zilivyo adhabu nyingine?
Kuna ulazima gani wa Rais kupitisha adhabu ya kunyongwa?