Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

Hiyo Dominant Gene ipo Argentina πŸ‡¦πŸ‡· tu katika nchi zote za bara la Marekani Kusini? Fund man naomba jawabu lako
Btn waafrica hawakuruhusiwa kuoa wazungu hizo dorminant sijui zilitoka wap na hata waliooana weusi kwa weusi ambao ndio asilimia kubwa watoto walizaliwa wazungu
 
Ukweli mtupu,kuna jamaa yangu anatoka Salvador aliniambia hivi ulivosema.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kwanini Tanzania hatuna hata mchezaji mmoja mwenye asili ya kizungu ambaye ni mtanzania licha ya kujazana wengi kule upanga na masaki?
Miaka ya 2000 Coastal Union Tanga hapa kulikua na Top scorer mmoja anaitwa Abdallah saleh sabebe

Sabebe alikuwa akiitwa Timu ya taifa,

Pia Abdul Halim alikuwa akiitwa kipindi cha Maximo.
 
Waargentina sio watu ni mashetani kabisa lakini iko siku na pia Argentina sio nchi yenye neema saaana haina tofauti kubwa sana na sisi na ndio maana hata wale watu wa visiwa vya Falklands walikataa kuwa sehemu ya Argentina.

Ktk dunia hii watu ambao angalau hawawabagui waafrika sana ni wa Ulaya magharibi, Marekani na labda Canada lkn wengine wote waliobaki wanajua waafrika ni manyani tu wasio stahili haki sawa na wao.
 
Hii genetics ya form four ndio unaitumia hapa au!?
Kwa hiyo ukiwa nchini Argentina hata ukizaa na mweusi mwenzio hizo gene dorminant zinatoa mtoto mweupe wa ki-argentina!?
Pumbavuuu!
Boya huyo mtoto ukizaa na mzungu hawi mzungu
 
Aisee
 
Hii genetics ya form four ndio unaitumia hapa au!?
Kwa hiyo ukiwa nchini Argentina hata ukizaa na mweusi mwenzio hizo gene dorminant zinatoa mtoto mweupe wa ki-argentina!?
Pumbavuuu!

Nimezungumzia mchanganyiko wa black and white.Tafadhali Google dominant Gene.Hapa tunaelimishana kadri kila mtu anavyo fahamu.
 
Hawa Latinx ni kama Wahindi wa Bongo ukiwa Marekani. Hatari sana hawa majamaa ukiwa mtu mweusi haswa Mwafrika. Utakutana nao kwenye viduka vyao aka bodegas wapo friendly kwa sana sababu unawapa biashara, lakini they'll kill you in a minute ukizingua.
 
Ivi Taifa stars inamzungu watu weusi tumekua watu tunaopenda kupendelewa sana aisee
Mtoa mada kauliza ilo swali Kwa sababu Argentina ilikuwa na watumwa wengi sawa na majirani zake kama Brazil lakini sahvi ni kama White Country, Tanzania hatujawahi kuwa na walowezi wengi wa Kizungu ndo maana hatuna wazungu kwenye timu ya taifa
 
Kuna YouTuber flani kutoka Marekani anaitwa ACE, alikuwa anafuatilia uwepo wa Black Community in Argentina baadhi ya walioojiwa wanasema Argentina inafanya Kila namna kuzuia kuonekana kama Kuna Black community that's why uwezi kuona Black TV anchor, Soccer Player etc japo Kwa kipindi fulani huko nyuma Black population in Argentina ilikuwa 30% sahizi wapo 149,000 equal or less than %1 of Argentina population.

Kuna Hadi rahisi fulani wa Argentina (Samiento) alishawahi kusema "Argentina is White and European" na mwingine akadiliki kusema "Argentina is Europe of South America"

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…