Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

Ulichoandika ni uongo [emoji23][emoji23]
 
Kila mtu aishi kwao we jilete Argentina tukuite nyani uanze kulialia kuomba msaada wakati siyo kwenu
 
Si weusi tu, hata wenyeji wenyewe, yaani wahindi huwezi kuwaona. Hata Mestizo, yaani machotara wa kihindi na kizungu kama Luis Suarez huwezi kuwaona. Nchi moja ya kibaguzi sana, ndiyo maana wauaji wa kinazi, wakina Mengele walikimbilia huko.
 
Waafrika ndio wabaguzi, timu gani ya Afrika ukitoa waarabu wana wachezaji rangi nyeupe? Hata waarabu wa kiafrika hawapo kwenye timu za nchi zingine
South Africa kuna wazungu na hawapo kwenye timu yao ya taifa. Mtu mweusi anapenda kubagua wenzake ili yeye akibaguliwa ni kelele hadi mtaa wa saba
 
Hii Ni kweli mkuu. Wanaume wakauwa vutani wale wa Spanish waliporejea huko kutafuta kazi wakawa wanaoa wanawake waafrika ndio kwa kuongezea nyingine iyo.
 
South Africa kuna wazungu na hawapo kwenye timu yao ya taifa. Mtu mweusi anapenda kubagua wenzake ili yeye akibaguliwa ni kelele hadi mtaa wa saba
Hiki ulichokiandika hapa sidhani ukweli. Sijui unaongelea mchezo gani!!
Maana kama ni mchezo wa rugby, karibia wachezaji wote wa timu ya Taifa, ni weupe!

Ukija kwenye football, ni hivyo hivyo! Kwenye timu iliyoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2012 wakiwa kama wenyeji; kulikuwepo na wachezaji wenye ngozi nyeupe! Kabla ya hapo, wameshatokea wachezaji maarufu weupe kama akina Mark Fish, nk.
 
Msome Pwilo sio kila kitu lazima tubishe kama jambo Huna elimu nalo unaweza kukausha.

We jibu swali,sjui pwilo sjui nini haina maana hapa...kwanini senegal hakuna weupe???afrika ni ya waafrika na ulaya ni wazungu full stop..hizo porojo zenu pelekeeni wake zenu
 
Kila mtu aishi kwao we jilete Argentina tukuite nyani uanze kulialia kuomba msaada wakati siyo kwenu

Hii sasa ndo point..kila mtu abaki kwao sio mnajipendekeza kwa watu kisa mnataka word sympath..ukijichanganya kwa wabaguzi wanakubagua tu rudi afrika uone kama kuna mtu atakubagua
 
Si weusi tu, hata wenyeji wenyewe, yaani wahindi huwezi kuwaona. Hata Mestizo, yaani machotara wa kihindi na kizungu kama Luis Suarez huwezi kuwaona. Nchi moja ya kibaguzi sana, ndiyo maana wauaji wa kinazi, wakina Mengele walikimbilia huko.

Kila mtu akae kwake acheni shobo na nchi za watu ..ndo mana black american wengi ni watumwa wa wazungu hata kwenye industry zao
 
South Africa kuna wazungu na hawapo kwenye timu yao ya taifa. Mtu mweusi anapenda kubagua wenzake ili yeye akibaguliwa ni kelele hadi mtaa wa saba
Acha ufara team ya taifa ya south Africa ina wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…