Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

Kuna ukweli lakini chumvi mingi.

Siyo kweli kwamba waliwauwa wote.

Siyo kweli kwamba nchi nyingine za Latin America au America ya kusini hazikuwa na sera za “whitening”

Argentina walifanikiwa zaidi kwasababu waliweka kwenye katiba yao kwamba serikali iweke kipaumbele kwa wahamiaji kutoka Europe na kuwasaidia wakifika. Hiii ilipelekea wahamiaji milioni nne kutoka Europe kuhamia Argentina.
 
Wewe utakuwa mpumbavu wa kiwango cha lami, Alterta kocha was arsenal anabaguliwa kama mweusi Spain enzi anacheza wewe ukiangalia sura ukiona mweupe unahitimisha ni mzungu.
Anachosema ni kweli. Argentina ilikuwa hivyo. Wengine ambao hawakuwa weupe walijiandikisha kuwa ni weupe. Soma hiyo historia vizuri.

Kuna ambao walikuwa ni “morocho”, ambapo ni light skins. Hawakuwa wanajiandikisha kama blacks. Lakini nao pia walizaa na wazungu na hivyo kupelekea kupotea kwa ngozi nyeusi.

Diego Armando Maradona hakuwa mzungu.
 
Sio Argentina tu, wakati wa biashara haramu ya utumwa kuna waafrika wengi sana walipelekwa katika nchi nyingi zilizopo ktk bara la Asia lakini leo huwezi kuamini kwamba kuna waafrika waliopelekwa huko kwa sababu uzao wao hauonekani kabisa huko baada ya waarabu waliokuwa wakifanya biashara hiyo haramu kuwahasi watumwa wote wanaume kabla ya kusafirishwa kupelekwa utumwani ktk bara la Asia.
 
Ila mbona Saudi Arabia ina weusi wengi kwenye timu yao ya Taifa? Sijui kuhusu sekta nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…