Kwanini Arsenal haimtaki Aron Ramsey ?

Kwanini Arsenal haimtaki Aron Ramsey ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kwa kweli ni kitu cha kushangaza sana kwa timu hii kukataa wachezaji wazuri , au labda Arsenal haihitaji wachezaji wa zamani hata kama ni wazuri ?
 
Nadhani tatizo kubwa la arsenal liko kwenye uongozi zaidi. Huwezi kumkataa mchezaji kama Ramsey wakat una wachezaji wa kawaida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi haumkutai Ramsey na ndiyo maana walimpa mkataba ila shida ikaja kujitokeza kuwa Ramsey anataka alipwe pound laki tatu kwa week kitu ambacho uongozi umeshindwa kukubaliana naye, na kama utakumbuka vzuri kipindi Unai Emery anatua Arsenal alidai anataka timu yake iundwe kumzunguza Ramsey sasa pima mwenyewe ni namna gani anakubalika.

Ozil analipwa bei gani na anafanya nini uwanjani ?
 
Uongozi haumkutai Ramsey na ndiyo maana walimpa mkataba ila shida ikaja kujitokeza kuwa Ramsey anataka alipwe pound laki tatu kwa week kitu ambacho uongozi umeshindwa kukubaliana naye, na kama utakumbuka vzuri kipindi Unai Emery anatua Arsenal alidai anataka timu yake iundwe kumzunguza Ramsey sasa pima mwenyewe ni namna gani anakubalika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mechi ya leo ndo utaona kua kikòsi cha arsenal kinaitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa. Huwezi kufanya mabadiliko ya kuimarisha kikosi wakati huo huo unataka kuachia mchezaji kama Ramsey.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi shinda ubingwa wa ligi ukiwa na mchezaji kama Ramsey eti ndie kiungo wako unaemtegema. Wao kina Ramsey ndio walioifikisha timu hapo ilipo mpaka kufikia champion league wanaiona kwenye Television tu.

Wabongo sijui tunatazima vipi mpira. Lakini bila ya shaka yoyote mtu atakae muona Ramsey ni mchezaji mzuri Either ni Arsenal fan au Premier league die hard fan. Lakini shabiki mwengine yoyote wa mpira hawezi kubaliana na hilo.
 
Naona pande zote hawakukubaliana kwenye mazungumzo, na Emery ukichukulia ndiyo kwanza kaingia nafikiri alishindwa kuweka kigingi, ila bado Ramsey kafaidika, kama atakuwa hit au loss huko Juve tusubiri, ila ni mchezaji mzuri tu, Ozil alikuwa kipenzi cha Wenger, na kama tujuavyo, Wenger madarakani alikuwa kama mungu mtu, (Wenger: Ozil's big salary 'cheapest option')
Ila hata mimi sijuwi kwanini Ozil alipewa mkataba kama ule, hasa kutokana na uchezaji wake, ni mchezaji mvivu na nyodo sijawahi kuona, ana bahati ya kufa kwa kweli..
 
Back
Top Bottom