Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Uongozi haumkutai Ramsey na ndiyo maana walimpa mkataba ila shida ikaja kujitokeza kuwa Ramsey anataka alipwe pound laki tatu kwa week kitu ambacho uongozi umeshindwa kukubaliana naye, na kama utakumbuka vzuri kipindi Unai Emery anatua Arsenal alidai anataka timu yake iundwe kumzunguza Ramsey sasa pima mwenyewe ni namna gani anakubalika.Nadhani tatizo kubwa la arsenal liko kwenye uongozi zaidi. Huwezi kumkataa mchezaji kama Ramsey wakat una wachezaji wa kawaida sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ozil analipwa bei gani na anafanya nini uwanjani ?Uongozi haumkutai Ramsey na ndiyo maana walimpa mkataba ila shida ikaja kujitokeza kuwa Ramsey anataka alipwe pound laki tatu kwa week kitu ambacho uongozi umeshindwa kukubaliana naye, na kama utakumbuka vzuri kipindi Unai Emery anatua Arsenal alidai anataka timu yake iundwe kumzunguza Ramsey sasa pima mwenyewe ni namna gani anakubalika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya mechi ya leo ndo utaona kua kikòsi cha arsenal kinaitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa. Huwezi kufanya mabadiliko ya kuimarisha kikosi wakati huo huo unataka kuachia mchezaji kama Ramsey.Uongozi haumkutai Ramsey na ndiyo maana walimpa mkataba ila shida ikaja kujitokeza kuwa Ramsey anataka alipwe pound laki tatu kwa week kitu ambacho uongozi umeshindwa kukubaliana naye, na kama utakumbuka vzuri kipindi Unai Emery anatua Arsenal alidai anataka timu yake iundwe kumzunguza Ramsey sasa pima mwenyewe ni namna gani anakubalika.
Sent using Jamii Forums mobile app