Kwanini Arusha inaongoza kwa maceleb wa hip-hop?

wanaotambulika kwa hiphop ni weusi na dogo janja japo wanaoimba ni wengi ngumu hawasikiki
 
Sasa kwani wao na meno yao ya dhahabu ndo wajanja? kisa wanajua kurap na karate?
 
Ladha ya Hip Hop inahitaji msikivu mwenye vibe Na awe Na Upendo Na kile anachokisikiliza ni Kama mimi sipendi kulipwa mshahara WA kuwa Mtumwa hata siku nikiwa sijisikii kuwa kazini unilazimu kuwepo Kwa ajili ya mshahara huo., sasa basi Kama kuna mkoa unajiona unaweza kufanya vizuri dhidi yetu tuitane kwenye live steji tu, Ndiyo mtagunduwa Nini maana ya Hip Hop Na bongo bana pua.. Ila Usiulize kuhusu kukaza Kwa mwanaume.. Jiulize kuhusu kulegeza Kwa wanaume WA dar. Kama unaona bangi inasaidia Na wewe vuta udate.. Kula hakuna mwisho Bali kushiba mapmziko..
 
Alisema chege hiphop ya kweli ipo america. Hivyo africa tunapoteza muda tuu.
 
Arusha ni watu hovyo hovyo sana
unaweza ukafika mahali wao hawasikilizi nyimbo ya mtu yeyote wao wanasikiliza nyimbo zao na za marafiki zao tu
Tengua kauli jombaa usipende ropoka bila fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…