DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
Jamani naomba tusaidiane content creators wa kike asilimia kubwa ni kujadili mahusiano na ngono ni wachache sana wanaotoa maudhui tofauti.
Maana kama vijana kuna mambo kibao ya kuongelea ila ukitoka wa kwanza anasema mahusiano mwingine anazungumzia ngono bila hata aibu. Na simaanishi kwamba wa kiume hawaweki haya maudhui ila watoto wa kike ni kila leo