DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
Unadhani Mwanamke atazungumza Nini...!?Jamani naomba tusaidiane content creators wakike asilimia kubwa ni kujadili mahusiona na ngono ni wachche sana wanaotoa maudhui tofauti ..Maana kama vijana kuna mambo kibao ya kuongelea ila ukitoka wa kwanza anasema mahusiano mwingine anazungumzia ngono bila hata aibu. Na simaanishi kwamba wakiume hawa weki haya maudhui ila watoto wakike ni kila leo
Badala ya kupeana michongo ya pesa na maendeleo mmekalia ngono huku hata pesa ya kuhonga hamna...Ndio tunapenda hivyo..
Akili zao ndo zilipoishiaJamani naomba tusaidiane content creators wa kike asilimia kubwa ni kujadili mahusiano na ngono ni wachache sana wanaotoa maudhui tofauti.
Maana kama vijana kuna mambo kibao ya kuongelea ila ukitoka wa kwanza anasema mahusiano mwingine anazungumzia ngono bila hata aibu. Na simaanishi kwamba wa kiume hawaweki haya maudhui ila watoto wa kike ni kila leo
Badala ya kupeana michongo ya pesa na maendeleo mmekalia ngono huku hata pesa ya kuhonga hamna...