Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

MAMDALI

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
221
Reaction score
439
Salaam wakuu!

Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu?

NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa maisha m.f mazoezi, chakula n.k. na kucheki afya mara kwa mara​
 
Unawajua wachagga na misifa?Watakwambia ni magonjwa ya watu wenye hela!
 
Magonjwa yasioyambukiza, ambayo ni shida kubwa kwa saivi yana complex mechanism Hadi kutokea
Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuchangia ni kuwa na historia ya magonjwa yasioyambukiza kwenye familia, ulaji ubovu wa vyakula vya wanga na mafuta, kutokufanya mazoezi, matumizi ya pombe na sigara, uzito kupita kiasi, umri mkubwa na mengineyo
 
Kuna kikundi kimoja wao kwa wao hupeana sumu, hiki kikundi kina mission yake maalum. Mfano visiwani wamefanya kama hivi magonjwa makubwa kule ni Sukari na Presha, sioni ajabu kwa Wachagga kufanyiwa hivi kwasababu nao wapinzani kama wale wavisiwani.
 
Back
Top Bottom