Magonjwa yasioyambukiza, ambayo ni shida kubwa kwa saivi yana complex mechanism Hadi kutokea
Baadhi ya mambo ambayo yanaweza kuchangia ni kuwa na historia ya magonjwa yasioyambukiza kwenye familia, ulaji ubovu wa vyakula vya wanga na mafuta, kutokufanya mazoezi, matumizi ya pombe na sigara, uzito kupita kiasi, umri mkubwa na mengineyo