Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Hata lako na ukoo wenu mbona halijawahi kusikika fanya kuliinuaWatu maarufu /mashuhuri wengi wanakuwaga na majina ya kipekee au hadimu yani unakuta hilo jina analo yeye tu na ukoo wake .
Mfano:
1.Nyerere
2.JW Bush
3.Osama
4.Gadaff
5.Lowassa
6.Kikwete
7.Mkapa
8.Magufuli
9.Makonda
10.Mbowe
11.Trumph
12.Obama
13.Nape Nnauye
14.Tundu Lissu
Huu ni mfano tu lakini naamini wapo wengi sana ambao ni mashuhuri ambao katika majina yao kuna jina hujawahi kulisikia sehemu nyingine.
Watu maarufu /mashuhuri wengi wanakuwaga na majina ya kipekee au hadimu yani unakuta hilo jina analo yeye tu na ukoo wake .
Mfano:
1.Nyerere
2.JW Bush
3.Osama
4.Gadaff
5.Lowassa
6.Kikwete
7.Mkapa
8.Magufuli
9.Makonda
10.Mbowe
11.Trumph
12.Obama
13.Nape Nnauye
14.Tundu Lissu
Huu ni mfano tu lakini naamini wapo wengi sana ambao ni mashuhuri ambao katika majina yao kuna jina hujawahi kulisikia sehemu nyingine.
Kama wapo basi ni kwenye ukoo wao au wameyapata kwa wazazi wao kuvutiwa na ao watu mfano jina mandela wengi wamelioata baada ya Mandela kutoka gerezaniSijakuelewa maana yako yaani unataka kuniambia hayo majina hakuna watu wengine wanaotumia hayo majina? Ila somehow Kuna kaukweli kidogo Kuna majina ambayo hata watu wake tu ni noma mfano mimi Jina langu limetulia Sana. Ni mtu flan mwenye hela nyingi za kijanja Janja nikisema niwe maarufu ni dakika moja tu
Makonda lipo Bashite sina uhakika labda wasukuma wadhibitishehujatenda haki mbona hujaeka la MAKONDA na BASHITE kwani si lakipekee..?
Linasikika sema yapo mengi ya hivyoHata lako na ukoo wenu mbona halijawahi kusikika fanya kuliinua
Ila sio maarufu9 na 14 si kweli
nawafaham kina Lisu ambao hawana uhusiano na Tundu
post inasema majina yao ni ya kipekee, thus nmepinga kuwa sio ya kipekee maana nawajua kina Lisu wengineIla sio maarufu
hiki nini hiki!? tuheshimiane heshima haiuzwi broMfano:
....
6.Kikwete
7.Mkapa
8.Magufuli
9.Makonda
10.Mbowe
.
.
.
.
Kinjeketile NgwaleWatu maarufu /mashuhuri wengi wanakuwaga na majina ya kipekee au hadimu yani unakuta hilo jina analo yeye tu na ukoo wake .
Mfano:
1.Nyerere
2.JW Bush
3.Osama
4.Gadaff
5.Lowassa
6.Kikwete
7.Mkapa
8.Magufuli
9.Makonda
10.Mbowe
11.Trumph
12.Obama
13.Nape Nnauye
14.Tundu Lissu
Huu ni mfano tu lakini naamini wapo wengi sana ambao ni mashuhuri ambao katika majina yao kuna jina hujawahi kulisikia sehemu nyingine.
Katika yote uliyotaja hakuna jina la kipeke yake hata moja sasa yapo mengi mengi sema mtu mmoja anainua ukoooLinasikika sema yapo mengi ya hivyo
Yote hamna la kipekee9 na 14 si kweli
nawafaham kina Lisu ambao hawana uhusiano na Tundu