ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Na ndo staili inayowafanya wasiwe na akili, bali maguvu.Samahani wakuu kwa kuwasumbua naomba nijuzwe kwanini askari wanapendelea kunyoa style ya kupunguza nywele pembeni na kuziacha kwa juu kidogo?
Jesus Christ 😂...navyoona ni baadhi yao lkn sio wote wananyoa hvyoNa ndo staili inayowafanya wasiwe na akili,bali maguvu.
Sio punk askari unyoa dengeHivi unaijua Afro wewe?
Kaangalie hip hop ya miaka ya 90 ndio uje gspa tena kuuliza.
Punk ni Afro siku hizi.
Wewe utakuwa kitoto kidogo kisichojua mambo, au ulizaliwa kijijini sana ambapo hakuna vinyozi.
Just being curious, SIfa hizi ziko Tanzania bara pekee au inategema na nchi (maadili ya Jeshi husika)? Mfano USA kuna maafisa wamechafuka sana ng'ambo Zanzibar kuna maafisa wako na Uchebe wa kutosha. Stunning tattooed police officer taking internet by storm with videosSifa moja wapo ya Askari au afisa ni kuwa NEATY.
NEATY ni utanashati au usafi
- Kuwa na nywele fupi
-Kucha fupi
-Meno Safi
-Nguo safi n.k
Hayo ya afro ni kujiongeza tu hatajaandikwa popote
Ok!Sio punk askari unyoa denge
Ningeweza ningemwekea picha yangu hapa aone na ajue afro ni nini. Ila ngoja nimpe hata picha ya mtandaoniHivi unaijua Afro wewe?
Kaangalie hip hop ya miaka ya 90 ndio uje gspa tena kuuliza.
Punk ni Afro siku hizi.
Wewe utakuwa kitoto kidogo kisichojua mambo, au ulizaliwa kijijini sana ambapo hakuna vinyozi.
Sifa moja wapo ya Askari au afisa ni kuwa NEATY.
NEATY ni utanashati au usafi
- Kuwa na nywele fupi
-Kucha fupi
-Meno Safi
-Nguo safi n.k
Hayo ya afro ni kujiongeza tu hayajaandikwa popote
Sisi wenye kipili pili ni shida.My wife ana Afro matata mimi kipilipili kama mahadzabe, nikifuga nywele nchi mbili tu zinawasha na kuwa nyekundu.Napenda sana Afro, Afro is magic for black people ila sio wote wamejaliwa kuwa na Afro.Ningeweza ningemwekea picha yangu hapa aone na ajue afro ni nini. Ila ngoja nimpe hata picha ya mtandaoni View attachment 1964125