Kwanini askari wa Dar hupenda sana kuwaonea wanaume wa Dar na kuwachezesha kichapo mara kwa mara

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

iv ni kwanini kila siku matukio ya askar kuwapiga watu hutokea dar wala si mikoan?

Ina maana watu wa dar ndo kitonga sana?

Ina maana maaskar wa dar washaga waona wanaume wa dar kuwa ni mteremko sana kwahiyo wanaweza kuwatembezea kichapo cha mbwa mda wowote ule?

Mbona huku mikoan hiyo kitu haipo

Juz juz maaskari wa ffu walitembeza kichapo kwa mtaa fulan wa dar, had baadhi ya wanaume wa dar wakaanza kuleta mabandiko kuwa wamepigwa kama kuku na huku hawana kosa, nakumbuka walitembezewa kichapo had mwana mke ambaye ni mkuu wa wilaya akaenda kuwasaidia na kuwafulusha wale maaskir

Ina maana watu wa dar hamuwez kujitetea hadi muwe mnasubiria wanawake kama MAMA MJEMA aje awasaidie?

Jana tena maaskar wa magereza wametembeza kichapo usiku kucha, kichapo cha mbwa ndo kilichotembea Jana wanaume wa dar wamechapwa makofi kama hawana akili utazan watoto wadogo

Na hapa wamepigwa mtaa mzima ivi kweli mtaa mzima mnakubali kupigwa mnatazama hivi hivi aisee

Mbona huku mikoan mambo ya kuonewa kama hayo hayatokei?
Ina maana dar ndo kitonga sana?

LONDON BOY
 
Hata maaskari ni wanaume wa der
 
huku mikoani hawawezi kutupiga kila wakijaribu huwa tunaishia kupigana
 
hahahahahahahahaaa sasa si wameshaona kuwa nao ni michele michele tu wavaa tubukta....acha wawagonge tu
 
906cb5d422c1bbdac5151c1fa7771a14.jpg

Jamaa yangu [HASHTAG]#Beira[/HASHTAG] Boy# mwanaume kama huyu aliepaka lipsticks unategemea kbs anaweza kupambana na mwanaume rijali?....hawa ndg zetu wana matatizo sana aiseee,mwanaume unagombania dressing table na dada zako
 
Kwa sababu askari wa Dar wana nguvu kuliko askari wa mikoani
 
beira nakuheshimu lakini kwa kuwa umetutukana acha nami nikutukane
23517804_199937250551530_3116425708905157629_n.jpg
 
Kwa sababu askari wa Dar wana nguvu kuliko askari wa mikoani

Askari wengi wa Dar wanatoka mikoani kuja Dar kuwashikisha adabu vijanadume vya Dar. We umeona wapi kila kukicha mtu anahamka asubuhi kutwa kucha anasikiliza taarab na bongo fleva kisha anajiita mwanamme, si ujinga huu?
 
Back
Top Bottom