Kwanini Askari wa kike waliwekewa katazo kuvaa sketi?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Za jioni,

Zaman askari wa kike walipendeza sana na zile sale zao yaani sketi zao achana na hizi za sasa ambazo wana vaa kwa kweli walipendeza sana zile sale zilikuwa zina wapendeza wote ila za sasa hapana kama inawezekana huyu igp mpya arudishe lile vazi.

Wali wavutia wadada wengi kujiunga na upolice lakini now imekosa mvuto haupo kabisa.

Au ninyi mnaonaje?
 
Unataka kuleta ushamba wako hapa.

Na kama hapendezi ni mkeo tu wengine wako vizuri na sasa wanajiamini zaidi kuliko sketi.
 


Sale❎
Sare☑️
1.kajifunze kuandika
2.Acha ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…