Kwanini assistant coach ulaya ni nafasi nyeti ila Tanzania ni nafasi ya kunafikiana na kupoteza ufanisi wa benchi la ufundi?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Nina TAFAKURI NJE YA 18

Tanzania kuna mengi tunakosea na kwakuwa Hivi vitu havisemwi kwa Hadhira na watu maarufu basi katu hatutaona thamani ya taaluma ya soka nje ya Sifa na kuponda kimatukio

Soka la Tanzania linadidimia na hii Nadharia ni moja ya Sababu Nyeti

Moja ya watu wa karibu zaidi kwa makocha wakubwa na wana nguvu katika maamuzi ya kiufundi na wao wanakiri ni
Gianluca Conte kaka wa Antonio Conte

Devide Ancelotti mtoto wa Carlo Ancelotti

Mikel Arteta na Txiki Begiristain kwa Pep Guardiola

Rui Faria Kwa Jose Mourinho

Pepijn Ljinders kwa Klopp

Hawa sio assistants hawa ndio walikuwa wasiri wa majamaa, KITAALAMU KATIKA TIMU KUNA KOCHA MMOJA TU. WENGINE WANASHAURI NA KUFUATA MAAGIZO TU.

WASAIDIZI KAZI YAO KU PICK ORDER NA KU REFLECT KAMA YALIVYO KIKOSINI.

SIFA YA WASAIDIZI NI KUMILIKI SIFA AMBAYO INA MSAADA KWA KOCHA MKUU KIUFUNDI NA PIS KUWA MUAMINIFU WA MAWAZO NA MAONO YA KOCHA MKUU.

Football world works very different na grapevine news za Tz

Ndio maana watu hawaelewani baina kocha msaidizi na kocha mkuu Tz sababu kuna sumu ipo kuhusu Managerial relationships.

Ndio maana watu hawakuelewa why Giggs alijiengua aliposajiliwa Mourinho

Hawakuelewa Carrick anaondokaje na Ralf Rangnick aliamua kum appoint Darren Fletcher ahead yake

Ni vitu natamani sana kuelimisha watu wa soka la Tz ila wao wanapima umaarufu influence na admiration
 
Hii kali aliyekosewa ndo analazimishwa kuomba msamaha. Ila kupitia changamoto hii naamini team yangu itafanya marekebisho. Kumzunguka bosi ni kosa kubwa. Kupindishapindisha sio kweli.
 
Mwenye clip kwa kilichotokea game ya waswahili jana naomba kuona. Nasikia malalamiko mengi mengi sijafanikiwa ona kinacho lalamikiwa
 
Msiwe mnafananisha mambo ya uku Africa na Ulaya mnakosea sana,wao wapo mbali sana.

Karne ya 21 sisi uku bado tunatafuta maji safi na salama ya kunywa pamoja na matundu ya vyoo shuleni ya kujisaidia watoto wa shule,tena ndani ya majiji makuu ya nchi.sikwambii vijijini uko hali ipoje.
 
Ulaya kila mmoja anajua mipaka na majukumu yake ya kazi, pia kocha huwa anakuja au kuchagua bench lake la ufundi. Huku kwetu kochb anaajiliwa halafu analetewa wasaidizi bila kujali kama wanaendana na falsafa yake.
 
Tujitahidi kusikiliza press za aftermatch au tuombe azam walete watafsiri lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…