Kwanini AU isivunjwe?

Kwanini AU isivunjwe?

AU ni bunch la malofa wanaojiita maraisi ambao huwa wanakutana ili kutiana moyo kamba wakipinduliwa nchini kwao wale waliopindua wasitambuliwe na wawekewe vikwazo vya kiuchumi ili warudishwe kama maraisi. Wameshindwa hata kukubaliana kuondoa visa kati ya nchi za Africa, hawana faida hata bomu likipigwa kwenye lile jengo wakati wakiwa na mkutano wakafa wote wala Afrika haitatikisika na vifo vyao! Wanakuwa useless sana wakikutana kama viongozi wa AU
 
Naunga mkono hoja.

Hili dude halina faida yoyote.

Mpaka leo Afrika hatuna eneo/ soko huru la biashara, hatuna kutembea huru na bure kati ya nchi wanachama, hakuna demokrasia na majanga mengine kibao.
 
Ili wanachama waende kujiunga na umoja wa bara gani? Embu tikisa kichwa kabla ya kukiitumia
 
Au ipo Kwa ajili ya Marais kuvuna pesa za umma kama posho za vikao wakiambatana na vimada wao.
 
AU ni bunch la malofa wanaojiita maraisi ambao huwa wanakutana ili kutiana moyo kamba wakipinduliwa nchini kwao wale waliopindua wasitambuliwe na wawekewe vikwazo vya kiuchumi ili warudishwe kama maraisi. Wameshindwa hata kukubaliana kuondoa visa kati ya nchi za Africa, hawana faida hata bomu likipigwa kwenye lile jengo wakati wakiwa na mkutano wakafa wote wala Afrika haitatikisika na vifo vyao! Wanakuwa useless sana wakikutana kama viongozi wa AU
Morsi alipinduliwa Misri, walichukua hatua gani?? God bless America..
 
Back
Top Bottom