Kwanini AU isivunjwe?

Hivi AU ina msaada gani kwa nchi za Afrika, zaidi ya "kutapanya" fedha za Afrika?

Ina msaada gani?

Ikivunjwa kuna hasara yo yote?
Umeenda mbali sana, anza na hii EAC, muungano gani nchi wanachama wanapigana? Rwanda & DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…