goukun wadey
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 241
- 284
Pole sana, kuna daladala za Kariako - Mabibo, halafu zile za Kawe - Temeke aise huwezi amini utahisi ni za mifugo.Kipindi nipo advance nilipanda daladala asubuh mwenyew msafi kama kawaida yangu
Niliambulia kukalia mavi kweny siti, sijui nan alifany uozo ule
Ilikuwa siku ya Ijumaa nilienda shule nanuka
Hivi wasimamizi wa sheria za usalama barabarani hakuna kosa linalohusiana na uchafu? Kama halipo na wao wanatuambia wapo kwa ajili ya usalama wetu je isingekuwa sawa uchafu kuwa ni sababu mojawapo inayohatarisha usalama wetu! Angalieni mutuokoe kama itaafaaKazi yao ngumu sana, wanaamka saa kumi, wanalala saa sita....
Kama kijana Hana mkee anayemjali lazma ageuke mchafu
Ndugu nilipanda za Mwenge-Gerezani zinazipitia MabiboPole sana, kuna daladala za kariako - mabibo, halafu zile za Kawe - Temeke aise huwezi amini utahisi ni za mifugo.
Sio kwamba ulijinyea kwenye kidala mkuu?Kipindi nipo advance nilipanda daladala asubuh mwenyew msafi kama kawaida yangu
Niliambulia kukalia mavi kweny siti, sijui nan alifany uozo ule
Ilikuwa siku ya Ijumaa nilienda shule nanuka [emoji58]
Asili ya kondakta ni uchafu kunuka jasho, kutokupiga mswaki na kutokuoga ndo walivyoambiwa na maboss hyo ndo kimbola yaoKazi yao ngumu sana, wanaamka saa kumi, wanalala saa sita.
Kama kijana hana mkee anayemjali lazma ageuke mchafu.
Tunafanyaje sasa wapanda daladala?Asili ya kondakta ni uchafu kunuka jasho, kutokupiga mswaki na kutokuoga ndo walivyoambiwa na maboss hyo ndo kimbola yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna namna mkuu ni kukaza tu ununue gari lako au boda yako ya usafirTunafanyaje sasa wapanda daladala?
Ninazo gari bali huwezi kwepa daladala.Hakuna namna mkuu ni kukaza tu ununue gar lako au boda yako ya usafir
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda tu wa kulala na kupumzika wanaupata kwa shida, sasa Muda wa kufanya usafi watautoa wapi ??Tanzania na hasa Dar es Salaam, kuna uchafu wa kutisha ambao hautajiki kabisa sijajua kwa nini, ni mazoea au hauonekani, sio rahisi kusikia utajwe na watu serikalini, binafsi, mashirika, wala viongozi wa umma.
Nakumbuka usafi wa Jumamosi ulivyozingatiwa lakini huu wa makondakta na daladala zao.
Unaamka asubuhi ukiwa upo smart ila unawaza ukifika kwenye daladala hadi ushuke hali itakuwaje! Viti ni vichafu, sare za makondakta ni chafu, dereva ni mchafu na sare yake ni chafu. Ukitaka uone mashindano ya CHAFYA duniani basi ingia kwa Daladala utafurahi kama sio huzuni. Kwanini?
Pia soma: Makondakta wameiga kutoka wapi uchafu?
sio mm mkuu 😂
Jana nilipanda ya Temeke Gomz nilitamani kuvulia nguo nje niziache huko huko. Issue ya kujikuna kawaida Sana yaani ni Bora uwe na kagari kakuoshea kwenye sinki lakini sio uchafu WA kwenye baadhi ya daladala.Pole sana, kuna daladala za Kariako - Mabibo, halafu zile za Kawe - Temeke aise huwezi amini utahisi ni za mifugo.