Majibu kutokana na Publicity na reputation yake...Hivi kumfollow mtu Instagram kuna faida gani? Naomba kuelimishwa.
Mase mom..Tatizo la huyu bwana anaonyesha rangi yake ya Ccm ndomaana watu hawampendi...Wanataka aanguke,lakini hivi mnadhani is there anywhere to fall down?? Sijui but anazidi kutusua...ukitaka kam search katika list ya watu alio wa follow dj khaleed na Rick Rossy...
Pole sana rafiki inaonesha umeumia kupitia jambo hili kwa kiasi kikubwa.Nashangaa Tanzania tulivyo. Hivi karibuni msanii wa mziki Diamond Platnumz ametwaa mataji kama mawili huko Marekani ambayo ni moja ya kuletea umaarufu nchi kimuziki pia kuonesha kuwa anaweza kwa mashabiki wa Muziki. Walikuwemo akina Kiba, darasa, n.k lakini hawakufanikiwa.
Cha ajabu hizi habari hazikutangazwa kivile na baadhi ya vyombo vya habari. Zaidi tuliangalia kwenye mitandao... media chache walitangaza kama minor... nikimaanisha inakuwa habari ya mwisho n.k.
Na Huyu kijana akipataga misukosuko ya kimahusiano watu wanashoboka kila kona ya Dunia. Akiwemo dada yao Mange Kimambi. Ndo zinakua habari kubwa kuliko za ushindi anaoupata. Why apost negatives za msanii na sio postives zake?
Tufikirie kuhusu hili. Tunamuhitaji yule jamaa kimuziki kuliko madhaifu yake kimahusiano. Tukiendekeza utimu wa mpinzani wake anayemtegemea mange kupata promo hatutafika mbali. Nampongeza sana mond.. pamoja na media nyingi kutomsapoti hakati tamaa.
Sasa jaman mtu ku befollowed ni jambo.la ajabu mpka sasa linaongelewa duuuh.Wanataka aanguke,lakini hivi mnadhani is there anywhere to fall down?? Sijui but anazidi kutusua...ukitaka kam search katika list ya watu alio wa follow dj khaleed na Rick Rossy...
Hahahha umetisha mkuu.Habari zimetangazwa saana tu kwenye media mbali-mbali.
Au unataka iwe habari ya kwanza kabisa kwenye taarifa ya habari??
Millardy ayo aliripot alipata tuzo mbiliMi nafaham kapata tuzo moja, hiyo ya pili itakuwa ulimpa wewe
Labda kwenye habari za Michezo na Burudani ndio yafaa mkuuHabari zimetangazwa saana tu kwenye media mbali-mbali.
Au unataka iwe habari ya kwanza kabisa kwenye taarifa ya habari??
Uhakika mkuuNi utamaduni wa mtanzania kutopenda mafanikio ya mtu wa karibu.ila wa mbali okey..pia huyu bwana Mdogo na aache uchama saana .hili nalo linamsababishia makundi.
Uhakika.mkuuUkiwa na wivu wa kijinga,hasa pale mwenzako anapotusua unamnyongea ,basi ujue m/mungu hatokufungulia liziki zako,fitina haifai,big up bro diamondi
hii mpya nayo kwa iyo hao wawili wakikufollow ndio wazidi kutusua mweeeeWanataka aanguke,lakini hivi mnadhani is there anywhere to fall down?? Sijui but anazidi kutusua...ukitaka kam search katika list ya watu alio wa follow dj khaleed na Rick Rossy...
Tunachoangalia ni kazi maisha yake binafsi yanatuhusu nini? Mbona kuna wazinzi zaidi yake hawasikiki?Vitendo vyake vya Uzinifu hauna fundisho lolote kwa vijana wetu ni bora media ziendelee kum block