Hahaha sawa sawa i gat u!Millard ayo hujibu watu wengi. He is not a hot topic anyway.. It's diamond don't spoil the cake...
Ile kauli yake watu mliitafsiri vibaya makusudi tu kisa kasema diamond, lakini angesema msanii mwingine isingekuwa tabu.Naseeb Abdul ana dharau sana. alishawahi kusema hahitaji media yeyote . Media wakikuona una maringo hawakusupport kwa lolote
Its obvious... inaonekana. Natazama sana taarifa mbalimbali za TVs hawakuwa na time na hiyo kitu. Hata ikitokea naona inakuwa kama "by the way"
ukae ukijua media ndio ilimfanya huyo dogo atoke. kuna ma underground kama mia na hawatoki yeye media ilimbeba sana leo anasema hahitaji? basi msililie media impe support aaachane na media afanye mwenyewe kwani shida nini? hamna media inayomhitaji diamond na wakiamua kutomoa support ni sababu zao binafsi huwezi ingia maamuzi ya biashara binafsiIle kauli yake watu mliitafsiri vibaya makusudi tu kisa kasema diamond, lakini angesema msanii mwingine isingekuwa tabu.
Na alichosema ni ukweli mtupu, akiamka asubuhi akaweka video mpya youtube, then akaenda kwenye page yake ya instagram akaandika kuwa karelease wimbo mpya, huo wimbo utasambaa na utaukuta mtaani hata kama hajaupeleka redioni.
Huo ndiyo ukweli lakini kwakuwa hatupendi kusikia ukweli na EA radio walikuwa na bifu naye kisa hakushiriki tuzo zao basi wakaikuza kauli hiyo ionekane ana dharau.
Ulishawahi kumsikia yeye binafsi akilalamika kuwa media hazimsupport wala akilia?ukae ukijua media ndio ilimfanya huyo dogo atoke. kuna ma underground kama mia na hawatoki yeye media ilimbeba sana leo anasema hahitaji? basi msililie media impe support aaachane na media afanye mwenyewe kwani shida nini? hamna media inayomhitaji diamond na wakiamua kutomoa support ni sababu zao binafsi huwezi ingia maamuzi ya biashara binafsi