Hili swali kwa kweli huwa najiuliza sana kwa nini vyuo kama vitano hivi,yaani MOROGORO Muslim University,Akhakan,Zanzibar University na vyuo viwili vingine nimevisahau, huwa wanachagua majina wenyewe ya wanafunzi wanaotakiwa kujiunga kwao katika shahada na si TCU kama vyuo vingine?. Kwani wao wana vigezo vipi vya kufanya hivyo?. Naombeni kama kuna mtu ana jibu la msingi la kufanya hivyo.