Molleli Senior Member Joined Aug 29, 2020 Posts 185 Reaction score 165 May 13, 2024 #1 Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 May 13, 2024 #2 Ongea vizuri na huyo mwanamke wako, pole sana!
Flava90s JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 309 Reaction score 495 May 13, 2024 #3 Ni Utoto, Ushamba, Ujinga, Ulimbukeni na Umalaya japo sio kwa wote.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 May 13, 2024 #5 Dependence syndrome- MTU akiwa anategemea Sana watu ili mambo yake yaende atakuwa hivyo Ila japo watu wemgine ni kwa ajili ya kuongeza privacy tu.
Dependence syndrome- MTU akiwa anategemea Sana watu ili mambo yake yaende atakuwa hivyo Ila japo watu wemgine ni kwa ajili ya kuongeza privacy tu.
Sainya Jnr JF-Expert Member Joined Mar 14, 2019 Posts 467 Reaction score 1,112 May 13, 2024 #6 Walioweka hizo features sio wajinga
Molleli Senior Member Joined Aug 29, 2020 Posts 185 Reaction score 165 May 13, 2024 Thread starter #7 Lavit said: Ongea vizuri na huyo mwanamke wako, pole sana! Click to expand... 🤣🤣
Molleli Senior Member Joined Aug 29, 2020 Posts 185 Reaction score 165 May 13, 2024 Thread starter #8 Lavit said: Ongea vizuri na huyo mwanamke wako, pole sana! Click to expand... 🤣
Molleli Senior Member Joined Aug 29, 2020 Posts 185 Reaction score 165 May 13, 2024 Thread starter #9 Sainya Jnr said: Walioweka hizo features sio wajinga Click to expand... Kuna kitu ulitaka kusema mkuu
Sainya Jnr said: Walioweka hizo features sio wajinga Click to expand... Kuna kitu ulitaka kusema mkuu
Molleli Senior Member Joined Aug 29, 2020 Posts 185 Reaction score 165 May 13, 2024 Thread starter #10 Briancah said: Mh! Click to expand... Mmh! Jitetee
D Diz26 JF-Expert Member Joined Nov 1, 2023 Posts 205 Reaction score 434 May 13, 2024 #11 Ni kupunguza tu usumbufu ,kuna watu wakiona mtu online atatuma hey hey zisizoisha
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 May 13, 2024 #12 Lavit said: Ongea vizuri na huyo mwanamke wako, pole sana! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lavit said: Ongea vizuri na huyo mwanamke wako, pole sana! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]