Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
 
Ni kwa sababu wanaichukulia nchi kama mali yao wao wenyewe, marafiki zao, wake/waume zao na watoto wao.
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Mbona kipindi cha muenda zake wote walika kimya kwanini wanataka kumuonea Mama, hata miaka miwili bado
 
Kwan kamanda uchwara mbowe na chawa wake wamefikia wapi maana Mara ya mwisho kamanda uchwara mbowe nilimuona kwenye magazeti akijichekesha na raisi ikulu baada ya kutoka mahabusu keko sasa mpaka Leo naona kimya wewe ndie umenishitua kumbe kuna madai ya katiba mpya
 
Ulafi wa madaraka, wameshaona hii nchi ya baba yao wengine wako wanajivinjari huko ughaibuni.
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?

..huo ni ubabaishaji tu.

..Ccm wamepeleka wapi katiba pendekezwa iliyotokana na bunge maalum la katiba la mwaka 2014?

..Mama Samia alikuwa makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba.
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Tanzania Ni MALI ya KILA mtu.

Kwanini Wanachama na MATEKA wa Mbowe wanaamini KILA wanachotaka wao na KUKIHITAJI wanaokipinga HAWAFAI na HIVYO hawataki KUPINGA MAWAZO YAO?
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Wengi waanakubali kwamba Ufisaji na ufujaji mali upo kutokana na ubovu wa mifumo ya kiutawala. Lakini linapokuja swala la Katiba mpya wanaoba bora tu nchi izame 🤣🤣
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Dada Bite, Beatrice Kamugisha , kwanza naomba nikusahihishe, hakuna popote rais Samia amesema katiba mpya isuburi baada ya 2025. Alichosema ni kwa sasa tumpe muda ajenge kwanza nchi.

Pili mimi ni mwana CCM na tuko wana CCM kibao tunaounga katiba mpya.
Kitu tusichokubali ni kumshinikiza Mama Samia kuwa katiba mpya lazima sasa!.

Kama hoja ya Katiba mpya ilikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ya Magufuli, na akasema katiba sii kipaumbele chake, akaitosa na hakushinikizwa, kwa sasa katiba mpya haipo kwenye ilani ya Samia, kumshinikiza Mama Samia kuwa katiba mpya lazima sasa ni kumuonea!.

Tusimuonee Mama yetu!.
P
 
Kwa mantiki hiyo hii ni awamu ya 5?
Hivyo Samia anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli?
 
Nikukumbushe kuwa mtaji wa ccm ni umasikini, mama haweza kuwa na kipaumbele cha katiba maana Upigaji ni heshima kubwa kwa ccm
 
Kwa mantiki hiyo hii ni awamu ya 5?
Hivyo Samia anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli?
Samia ni rais wa 6, ila anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli, rais akifa, awamu yake inakuwa imekatiziwa hapo na awamu mpya ya 6 inaanzia hapo Kwa kumalizia awamu ya 5.
P
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Kichwa cha habari kingesomeka

Kwanini baadhi ya wana CCM wawanaamini Baadhi ya Wana CHADEMA wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?​

Na
Dada Bite, Beatrice Kamugisha , kwanza naomba nikusahihishe, hakuna popote rais Samia amesema katiba mpya isuburi baada ya 2025. Alichosema ni kwa sasa tumpe muda ajenge kwanza nchi.

Pili mimi ni mwana CCM na tuko wana CCM kibao tunaounga katiba mpya.
Kitu tusichokubali ni kumshinikiza Mama Samia kuwa katiba mpya lazima sasa!.

Kama hoja ya Katiba mpya ilikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi ya Magufuli, na akasema katiba sii kipaumbele chake, akaitosa na hakushinikizwa, kwa sasa katiba mpya haipo kwenye ilani ya Samia, kumshinikiza Mama Samia kuwa katiba mpya lazima sasa ni kumuonea!.

Tusimuonee Mama yetu!.
P
Nashukuru kufahamu kwamba hata wewe unakubaliana na wanaosema mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na uhalifu

Nafahamu kutambua kwamba Kwa uelewa wako unaamini Mama ana ilani mpya tofauti na ya 2020-2025

Nashukuru kufahamu kwamba unataka Katiba Mpya ila unaamini katiba inatoka Kwa Mhe. Rais na siyo mwananchi

Nashukuru kufahamu kwamba Wananchi wanaofikiri tofauti na vipngozi awapaswi kusikilizwa maana wakisikilizwa basi watakuwa wanamshinikiza Mhe. Rais.

Naomba nikupe pole; Kwa elimu Yako unapaswa kujua unahitaji katiba Mpya lini?Usipokuwa na hii vision nivigumu kutiaminisha kwamba wewe ni mmoja wa watu wanaotaka katiba mpya
 
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.

Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo kuonekana siyo msimamo binafsi ni msimamo wa chama. Je,ni kosa kudai Katiba mpyasasa?
Hawapendi chaguzi za haki wanapenda kuiba kura wapate vitambi
 
Back
Top Bottom