CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
heshima mbele wanajamvi
juzi kati nlikuwa safari. katika safari kulikuwa na wakaka wawili ninaofahamiana nao. 1 alifunga ndoa mwaka jana,mwingine mwaka juzi. basi kupiga chabo kwenye vidole vyao nikakuta wamevua pete zao za ndoa. wakati mida ya mchana walikuwa wamevaa kama kawaida. na baada ya kurudi home place nlishuhudia wakiwa wamezivaa tena. nilijiuliza maswali bila kupata majibu. . . kwenu wanajamvi, hivi ni kwanini ?
Washamba hao,wenye pete ndio wanatakiwa sana na wadada siku hz, tena utakuta mdada kabisaaa anaangalia kwanza kama kuna pete kidoleni
wewe nae kwa umbea lol
Washamba hao,wenye pete ndio wanatakiwa sana na wadada siku hz, tena utakuta mdada kabisaaa anaangalia kwanza kama kuna pete kidoleni
Ndoa iko moyoni mwa mtu si pete! Na wewe hizo pete zinakuhusu nini?
Ni mamuzi ya muhusika kuva ama kuvua kwa hiyo sioni tatizo hapo.
Pete has nothing to do with ndoa bana kikubwa maelewano ndani ya nyumba
Labda waliingia chooni wakaogopa isichafuke!!!
Labda waliingia chooni wakaogopa isichafuke!!!
Inaonesha ni jinsi gani wasivyo waaminifu..Wanavua ili kudanganya vidada
pete ya ndoa inapunguza soko kwa babies kwan we HULIJUI HILI?