Kutovaa Chupi kabisa si ajabu inategemea:
mf. wenye mimba wanashauriwa wasivae chupi ukifika muda fulani wa mimba.
lakini mfano vicheche: baadhi huwa hawavai chupi ili kurahisisha utendaji wa kazi zao yaani bao la kisigino. maana akibinjuka tu, kitu wavuni
kha! yaani moja haitoshi?lips zinatokeza kwa pembeni??? hongera!Mmh! Mi natamanigi nivae hata mbili ili "kindunde" changu kisionekane.
Who said so? Nani anadefine moral za mtu au kina mama?Wanawake kutokuvaa chupi nadhani sasa hii ni kawaida yao...
Unajua maadili yanapungua kila siku sasa kama wanakwenda kwenye mapart bila chupi wakishazoea hata maofisini hawavai..
Ila ni aibu sana..
kutokuvai au kuvaa ni maamuzi ya mtu
Chupi si asili ya mama wa kiafrika! Ni mambo ya udhungu hayo!
Marehemu bibi yangu, aliniambia walikuwa wavaa kitu Kama chupi wakiwa period tu. Ni kitambaa wakishikiza na kamba kiunoni mf. wa G string!
So huyo dada anaenzi mila za kiafrika kama mnavyowaimbia kina dada wafanye!
Umeona ndio, but it is ur problem, not hers; na ndio maana imekusumbua hadi umeleta Uzi hapa!
joto bana... wanamuacha "eva" apate hewaWana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida kuna dada moja ambaye hupendelea sana kuvaa suruali na zinamkaa vilivyo. Hata hivyo majuzi alivaa sketi ambayo pia ilimkaa vema. Bahati mbaya wakati naingia ofisini na bila kudhamiria nilimwona amekaa mkao ambao "mambo yote yalikuwa hadharani". Naam, kwa hakika hakuwa amevaa chupi. Nilikausha na kujifanya kama vile sijamwona na yeye nadhani alijishtukia hivyo akakaa vema.
Jambo hili lilinifanya nijiulize maswali mengi na hasa ni kwa nini hakuvaa chupi lakini sikupata jibu na hivyo kuamua kulileta hapa jamvini:
Je, kuna baadhi ya Wanawake hawavai chupi? Na kama ni hivyo, ni kwa nini?
jotoooo! Nani anataka kunuka ndugu?Mmh! Ipo kazi!
Ni kweli hayo?
Uchovu? Michelle! hahahahaJoto laweza kuwa sababu na wakati mwingine aina ya nguo...kuna nguo ukivaa hata G's haikai kisawasawa.....au uchovu!!