Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Uchovu? Michelle! hahahaha
Mi nadhani ni watu tu kuamua... Nakumbuka kuna thread ya Nazjaz aliuliza nini kazi ya chupi, there were some funny answers...

Lol, RR mi kuna wakati nachoka sitaki kitu cha kunishika mwili wangu including chupi nataka nioge,nikae niangalie movie,nisome kitabu kama nilivyozaliwa....vitu vyenyewe vinabana na kuvaa zile 'mothers day' ni mwiko kwangu....lol
 
Lol, RR mi kuna wakati nachoka sitaki kitu cha kunishika mwili wangu including chupi nataka nioge,nikae niangalie movie,nisome kitabu kama nilivyozaliwa....vitu vyenyewe vinabana na kuvaa zile 'mothers day' ni mwiko kwangu....lol

Hadi raha......
 
kuna kila dalili za uongo kwa mtoa mada!!huyo dada ni mwembamba kiasi gani?na alikuwa amesambaza miguu kiasi ambacho 1% ya mwili wake ionekane?na umbali kutoka mlangoni mpaka alipokaa ni mita ngapi mpaka uipate hiyo view??!!HAKUNA UKWELI HAPO,UNAAMSHA HISIA ZA MALIJALI TUUU HAPA!!
 
inawezekana anatumia dawa aina ya clotrimazole vaginal pessaries kwa ajili ya kuangamiza wale trichomonas vaginalis,au candida albicans,au hata treponema pollidum,kwani wadudu hawa huzaliana sana kama maeneo yale huwa na umaji maji,na njia pekee ya kuhakikisha dawa kama hizo au lotion kama nystatine na vidonge vyake pia ni kuhakikisha kunakuwa dry!
 
Kuna jamaa yangu anasema yeye akija dar havai chupi, kwani joto la dar husababisha apate michubuko akivaa hiyo.
 
nadhani ni joto la Dar ndio itakuwa sababu...
kiafya nadhani tunatakiwa kupitisha hewa huko...
kuavoid growth of bacteria...
either uvae chupi nyepesi,ama usivae kabisaa..kny sehemu za joto!

Hivi hili joto la Dar limeanza hivi majuzi eh!

 

Kweli kabisa mkuu kwani ni vigumu sana kwa mwanamke kukaa vibaya afu ukaona ndani na kama kavaa chupi hata chupi yenyewe haionekani
 

Dry kwa kutovaa chupi,? Mbona hata mapaja yenyewe tu wakati anatembea yanazalisha joto la ajabu bora hata chupi inafanya kukausha
 
Asante kwa sory yako ya kutunga kesho jitahidi uje na reality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…