Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

Ngoja nilale maana naona Jf ina hatarisha uhai wa ndoa yangu.
 
is not a big deal ...dont worry bwt it ..
mmmhh we hujaniambia unajirusha mitaa ipi leo...
usijali nitakuwa na underwear ahahah lol

Sambouca wana specials za Martinis leo.....nikupitie?

Ila unaweza kukimbia mchakamchaka chinja?
 
Sambouca wana specials za Martinis leo.....nikupitie?

Ila unaweza kukimbia mchakamchaka chinja?

mmmhh afadhali hata unipitie ...... tukazishughulikie hizo Martinis....
mmmhhh we NN wewe na hichi kiatu we kweli unataka mi niende mchaka mchaka mmhh
mmmhh tutaita taxi....
usilete ile BMW .... kwa sababu hatutaweza endesha baada ya shughulu takatifu lol
 

Usiwe na shaka mrembo....Bimma ntaliacha kwenye garage....

Umevaa zile stilleto nyekundu? Hivi huwa ni za inches ngapi vile?
 
Duh kweli soo hapo mzee kama huna gazeti la kuzugia inakuwa kazi kweli kunyanyuka kutoka kwenye kiti...
 
Nadhani wanawake wengi sasa hawataki kuva chupi kwa sababu labda ya hali ya hewa na maungo yalivyo,, ila lazima awe na sababu specific ila kweli uliona kuwa hakuvaa chupi???

kule ni ndani sana kaka kweli uliona weye?
 
huyo Anaetoka majimaji analo akamuone dr masuala ya hewa tu ndiyo yanatawala km suala ni chapchap chupi haicost chochote mnaweza hata kuichana kipembe
 

kwani chupi kwa mwamke inakazi gani, labda wakati wa masika inashikilia mwavuli ili mafuliko yasitokee. hata hivyo unajuaje kama hakuvaa g.string?. Nijuavyo wengine hapendi kuvaa chupi kwakuwa zinaharibu show ya makalio.
 
Inategemea na nguo uliyovaa!ila kwa mchana mh!ucku nguo nyingi za kutokea hazihitaji chupi!sivaagi kbs ucku nikiwa natoka!
 

Mkuu sasa hivi joto limekuwa kali sana ili kuacha maeneo nyeti ya kujidai hayo yapunge upepo mwanana wanaamua kuto vaa kufuli ili hewa safi iingie kupuliza vinginevyo inabidi kila baada ya saa 2 abadili kufuli la sivyo kutakuwa kunanuka uvundo si unajua tena joto
 
Nadhani wanawake wengi sasa hawataki kuva chupi kwa sababu labda ya hali ya hewa na maungo yalivyo,, ila lazima awe na sababu specific ila kweli uliona kuwa hakuvaa chupi???

kule ni ndani sana kaka kweli uliona weye?

Hahahaaa vp mkuu mpaka achore picha ndio umwelewe? lolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…