Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Tujadili
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Tujadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Tujadili
Na wewe ukiwbiwa kua jumapili ndio siku ya kwanza ya juma mbona hua unakodoa macho sanaWadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Tujadili
Dj asisahau kuweka chikichi chikichi chikichi....Dj niletee watu wa siku ya kuabudu ni jumamosi vs siku ya kuabudu ni jumapili.
Jumapili ni siku ya kwanza ya juma na Jumamosi ni siku ya saba yaani sabato kibiblia hilo halijawahi kuwa na utataNa wewe ukiwbiwa kua jumapili ndio siku ya kwanza ya juma mbona hua unakodoa macho sana
Unawangulia wimbo Gani wakuabudu jumamosi? Dj anakusikilizaDj asisahau kuweka chikichi chikichi chikichi....
Mkuu Jumamosi alipumzikaje?Umewah jiuliza kwann YESU licha ya kua Mungu na Uwezo wote, aliacha afe Ijumaa, Kisha Jumamos akapumzika, Jumapili akafufuka?
Siku ya Jumamosi na siku ya Jumapili ipi wanafunzi wake walifanya sherehe?Mkuu Jumamosi alipumzikaje?
Tujadili nini hujaweka hoja? uthibitisho uko wapi kuwa roho mtakatifu alishuka jumapili?Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Tujadili