Kwanini baadhi ya watu hawali kitimoto?

Swala si tatizo la ki afya je umetii amri ya aliyekuumba? Si waislam wala wakristo wote aliyetuumba amekataza nguruwe kuliwa , kwa nini anajua yeye mwenyewe kwa hyo kazi kwetu kutii na ukikataa kutii hii itakua juu ya nafsi yako
Kijana wacha ujinga, jiulize tu.....huyo Mungu alikushukia lini na kukukataza wewe kula nguruwe? Usipende kusikiliza hadithi zilizotungwa na watu kwenye vitabu kutishia wenzao, kama Mungu hataki wewe ule nguruwe, believe me atakushukia wewe na kukuonya ila HAWEZI kumshukia mzungu au mwarab na kuwaambia nenda kamuonye baby zu asile nguruwe. Tumia akili zako, dini ni usanii tu, zimewekwa kwa ajili ya kutawala binadamu na ndiyo maana unaona waumini wengi ni masikini na wajinga.
 
Mdudu spesho 😂😂😂 anapigwa vita sijui kwanini yani! Ila nahisi sababu ni mtamu sana
vitu vitamu ni full kupigwa vita

uyo anayepiga vita yeye mwenyewe ni mtumiaji mzuri tu, ila ukimuuliza kwanini wewe watumia ?

anajibu, 'fata nisemacho , siyo nifanyacho'
 
Huu mzigo mtamu asee, uwe na chainizi isiyo iva saana + ugali na pilipili .mbona maisha yanakuwa burudani.
 
Mbona watu wanakosa vitu vitamu kwenye nyama ya popo na kenge...
 
Yani nguruwe watu wanavyoihusudu na ladha yake ht haviendani
Bora mbuzi kuliko hio
 
Sii lazima niamini unachokiamini . una imani yako nami nina yangu
 

story ako nzur sana na yakufikirisha, kila j.Mos pale itv utawafurahsha watoto.
 
Yaan kitimoto izidi kuku na samaki kwa utamu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…