Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
🤝Wiki kadhaa ziliyoisha ya tarehe 25/12/2023 Kuna mdada nilikutana naye kwenye Uzinduzi wa siku 16 za uanaharakati dhidi ya UKATILI wa kijinsia, ambao ulifanyika kwenye ukumbi wa JNICC ( Julius Nyerere International Convention Center).
👌Tulipiga soga nyingi Sana lakini Kuna Swali kubwa Sana ambalo ningependa kushea nanyi Kati ya mengi aliyoniuliza.
✍️Nalo Ni hili kwa Nini baadhi ya watu UKISHIRIKI NAO TENDO MIKOSI HAIISHI?
🤔Hili swali kwanza lilinifanya nikae kimya kwa sekunde kadhaa huku nikitafakari baadhi ya Mambo, kitu alichoniuliza Ni kweli kabisa kwenye jamii nyingi kinatokea, mpaka KUPELEKEA baadhi ya watu kuambiwa wanamikosi, wengine hutengwa kabisa je tatizo Ni Nini.
🗣️Jibu la kwanza nilimwambia kwamba sisi binadamu kiasili tuko kwenye makundi manne kielement, ambayo Ni maji, Moto, Upepo na udongo. na katika haya makundi manne Kuna kundi jike mbili hapo na kundi dume mbili pia, lakini katika hayo makundi siyo kila dume anauwezo wa kuingiliana na kila jike.
👌Kivipi tutaelewana tu msijali, kundi la maji linaingiliana na kundi la udongo Hawa ndoa yao Ni takatifu na Ni neema na baraka tu endapo maji na udongo vikiungana.
🔥Na kundi la Upepo linaingiliana na Moto na Hawa pia ndoa yao Ni takatifu na Ni neema na baraka tu endapo Upepo na Moto vikiungana.
👌 Sasa endapo Kama Ikiwa tofauti yaani ukaingiliana na kundi ambalo siyo pea yako katika MAHUSIANO Basi Ni MIKOSI na balaa tu, na wengine ndiyo pale unakuta mmoja anakuwa juu mwingine chini, mfano unakuta mwanamke Yuko juu kimamlaka kuliko mwanaume mpaka KUPELEKEA mwanaume kuitwa bushoke au kalishwa limbwata kumbe kashindwa kuchagua element inayoivana na yeye.
😳 Basi Nikaja kwenye pointi ya pili ambayo hii nahitaji muwe makini sana kuisikiliza.
✍️ Miili yetu Ni nishati Tena nishati muhimu Sana siyo tu katika maisha yetu, Bali katika maisha ya kila kiumbe kilichopo kwenye ulimwengu huu.
🗣️ Wakati wa kufanya tendo la ndoa/kujamiiana zile nishati huwa zinaingiliana yaani kutoka kwa mmoja kwenda kwa mwingine.
🤗 Hizi nishati Zina frequencies zake zipo nishati za juu na zipo nishati za chini, kadri unavyokuwa na nishati zenye frequencies za chini Basi hapo mwili unakuwa rahisi Sana kupokea magonjwa, majanga na MIKOSI pia, yaani vile vitu ambavyo kwenye huu ufahamu wetu wa kawaida tunavyoviona vibaya Basi vipo kwenye hizi frequencies za chini.
✍️Sasa tendo la ndoa Ni tendo la kubadilisha nishati, ukiwa unafanya nishati zako zitaenda kwake na nishati zake zinakuja kwako.
🤔Sasa fikilia kwa mfano unayefanya naye nishati zake Ni za chini yaani Ni low frequencies/negative frequencies, hapo moja kwa moja hizo nishati zinakuja kwako, kifuatacho Ni MIKOSI na majanga na magonjwa. Na ndiyo hapo Sasa tunapata Ile dhana ya kwamba daaah nilipolala na Fulani nilipata MIKOSI, Yule again kabisa kumbe siyo kwamba hafai Ila wewe umebeba nishati zake pasipo kujijua.
🗣️Kuna wakati unaweza kuwa na ugonjwa Fulani lakini ukashangaa baada ya kujamiiana tu ule ugonjwa wako umeisha, hapa Ni kwamba umemuamishia nishati za ugonjwa Yule uliyekuwa unashiriki naye tendo.
✍️Na ikitokea ukafanya tendo na mtu ambaye frequencies zake ziko juu na wewe zako ziko juu hapa mtapenda wenyewe, yaani mtahisi dunia yote Ni yakwenu kwani Ni baraka tu zitakuwa zinawamiminikia mpaka kila mmoja atasema kwa Nini hatukujuana mapema.
🙏Zipo Njia nyingi ambazo huwa tunabadilishana hizi nishati Siku nikitulia nitazielezea Tena Njia nyingine.
Ulikuwa nami mwalimu wako Dotto Aliko