Kwanini baadhi ya watu wakicheka au kufurahi sana hutokwa na machozi ?

Calist

Senior Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
130
Reaction score
7
Jf Dr. Kutokwa na machozi pale mtu anapocheka au kuwa na furaha sana ni tatizo au ni hali ya kawaida tu ? Naomba ufafanuzi ndg wapendwa.
 
Mimi nina tatizo hilo pia, halafu huwa sio kucheka tu. Sa zingine nikiwa nahadithia kitu kwa hisia na machozi yanatoka.
Huwa nakereka sana kwakweli. Mnaojua tuambieni.
 
Ni kawaida kabisa Physiologically ni kwamba ukicheka unaminya macho na tear ducts kwahiyo machozi yanatoka....

Biologically ni kwamba kucheka, kulia, furaha, huzuni, zote ni emotions ambazo zinasababisha kemikali ya endorphin kuwa produced
 
duh, asante kwa shule ya uhakika. mie sio kucheka tu, hata ukinihurumia tu, chozi hilo, bwaaaaa. angalau leo nimepata sababu za kisayansi. thanks
 
...Biologically ni kwamba kucheka, kulia, furaha, huzuni, zote ni emotions ambazo zinasababisha kemikali ya endorphin kuwa produced
Hiyo endorphin hata ukipiga punyeto nayo inakuwa produced ingawa machozi huwa hayatokagi!
 
Hiyo endorphin hata ukipiga punyeto nayo inakuwa produced ingawa machozi huwa hayatokagi!

ni kweli during orgasm huwa inakuwa produced, lakini wengine huwa wanalia wakipata orgasm
 
Du! Pole sana, je kuna dawa yoyote ya kuondoa hali hii, maana haya yanatukuta wachache tu.
 
Du! Pole sana, je kuna dawa yoyote ya kuondoa hali hii, maana haya yanatukuta wachache tu.

kuna hii article nimeukata katika pita pita zangu ebu angalia..... Hope it helps.... Lakini sio vibaya kuwa emotional inaonyesha una upendo zaidi....

Thanks a lot Mr. VoiceOfReason the above article is useful.
 
Ni kawaida kabisa Physiologically ni kwamba ukicheka unaminya macho na tear ducts kwahiyo machozi yanatoka....

Biologically ni kwamba kucheka, kulia, furaha, huzuni, zote ni emotions ambazo zinasababisha kemikali ya endorphin kuwa produced

Sifa zote njema anastahiki allah (sw), mola wa viumbe vyote, mbora wa kuumba. Aliyeumba binadamu na kumpa macho yanayotokwa na machozi wakati tofauti tofauti katika hali tofauti tofauti; huzuni, furaha.

Fungua hapa usome maajabu ya machozi

http://www.answersingenesis.org/creation/v15/i4/tears.asp
 
Baba Mtu hiyo kali, nitasoma kwa makini sana ila inapendeza sana kupata kitu kama hiki. Asante.
 
Baba Mtu hiyo kali, nitasoma kwa makini sana ila inapendeza sana kupata kitu kama hiki. Asante.

Ukipata muda pia tazama video hii hapa chini uone maajabu ya jicho kwa ujumla wake.

Last edited by a moderator:
Jamani nawashukuruni nyote kwa maoni yenu yamenipa mwanga wa kutosha kuhusu tatizo la kutokwa na na machozi, asanteni na heri ya mwaka mpya.
 
mimi nikiwa naugua....huwa nalia saa zote......watu wakija kunitembelea ndio tabu kubwa...utafikiri nimefiwa.....hii ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…