Kwanini baadhi ya watu wakicheka au kufurahi sana hutokwa na machozi ?

mimi nikiwa naugua....huwa nalia saa zote......watu wakija kunitembelea ndio tabu kubwa...utafikiri nimefiwa.....hii ni nini?

preta jamani!
Nahisi utakuwa ni uoga. Unafikiri kuugua ni kufa.
Watu ambao hatuugui mara kwa mara ndio huwa tuna tatizo hilo.
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…