Leo baada ya mihangaiko nikataka kupooza kichwa na koo nilipozoea kupata vyupa leo nimekuta bia zimeisha ila imebaki aina moja tu balimi kuuliza bei naambiwa chupa kubwwa buku jero nikajishauri kinyama kuwa iweje iwe bei chee namna hii muuzaji kaniambia ipo poa hata yeye anatumia nikasema ngoja nijaribu but inaonekana ipo poa tu ila mimi niko psycologicaly affected with misconception of price and quality yani naamini the higher price the higher quality.
Ila vibes yake nimeimind kinyamaa hata ninavyoongea ndio inanipa mzuka ebwana wajuz nijuzeni kwann iuzwe bei chee namna hiyo na wakati kili na safari zote chali....