Kwanini bango la sabasaba halijawekwa picha ya mtu mweusi?

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa maonyesho ayaendeshe kwa "ufanisi"?

Wachina.jpeg
 
Ukisoma hapo chini wameandika "welcome all
Foreign exhibitors" picha no kwa niaba ya foreigners wote lakini nadhani wametumia kulingana na takwimu, wepi ni wengi nchini.
Nawasilisha.
 
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa maonyesho ayaendeshe kwa "ufanisi"?

Welcome all foreign exhibitors
 
Ndio ni sawa ...wapo sahihi kabisa sababu wao ndio wanafanya biashara na nyie wabongo ni wachuuzi na madalali wa bidhaa zao pamoja na soko lenu la kariakoo..

Hayo ni maonesho ya biashara na wafanyabiashara (wazalishaji) wa bidhaa ni wachina..na nyie ni wachuuzi na madalali wa bidhaa zao..

Subirini siku ya wachuuzi Tanzania wataweka picha zenu..
 
Asante sana Kada mwenzetu
 
Back
Top Bottom