Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa maonyesho ayaendeshe kwa "ufanisi"?
Asante sana Kada mwenzetuNdio ni sawa ...wapo sahihi kabisa sababu wao ndio wanafanya biashara na nyie wabongo ni wachuuzi na madalali wa bidhaa zao pamoja na soko lenu la kariakoo..
Hayo ni maonesho ya biashara na wafanyabiashara (wazalishaji) wa bidhaa ni wachina..na nyie ni wachuuzi na madalali wa bidhaa zao..
Subirini siku ya wachuuzi Tanzania wataweka picha zenu..