Kwanini bar nyingi zenye biashara ya kitimoto zina mazingira machafu na allergy ya usafi

🤣🤣🤣 hii ni kwenu tu Boss hama huko
 
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.

Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?

Ni hayo tu

Wadiz
Kwasababu wateja wao wengi ni waislam. Huoni siku za mfungo wa ramadhani zilivyo safi kwasababu kitimoto zinadoda?

adriz Ritz ITR incharge Adiosamigo mjingamimi
 
Ishukie wao na vizazi vyao
 
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.

Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?

Ni hayo tu

Wadiz
Ukweli mtupu.
 
Hello everyone heri ya msimu wa sikukuu.

Jamani naomba majibu na mjadala wa kina kwanini sehemu za biashara ya kitimoto ni chafu na kiasi cha kupofusha macho ya kinyaa kwa wateja?

Ni hayo tu

Wadiz
Kwanini nyumba nyingi za kupanga zilizopo mjijni kati haziboreshwi? Ukinijibu hili nitakujibu hilo la kitimoto.
 
Bila picha video clip sw n takataka TU.

Pia itakua unakoenda ww Kula ndio kuchafu.

Mm ninako kula ona katika picha hii
Naona inagoma jf kupost picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…