Watery JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 2,718 Reaction score 3,471 Feb 17, 2024 #1 Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann
Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann
KISOFA Member Joined Feb 15, 2024 Posts 43 Reaction score 77 Feb 17, 2024 #2 Ccm wanachukua pesa ya ksmpeni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 18, 2024 #3 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Feb 19, 2024 #4 Kushuka sh
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Feb 19, 2024 #5 Smart911 said: Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Hizi awamu awamu mbili hiziii,πππ
Smart911 said: Mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw Click to expand... Hizi awamu awamu mbili hiziii,πππ
N nanix Senior Member Joined Oct 26, 2015 Posts 153 Reaction score 171 Feb 19, 2024 #6 I think ni kutokana na thamani ya dollar vs Tsh.. sasa hv dollar inarange 2500, wakati 2019 ilikuwa kwenye 2300...
I think ni kutokana na thamani ya dollar vs Tsh.. sasa hv dollar inarange 2500, wakati 2019 ilikuwa kwenye 2300...
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Feb 19, 2024 #7 Watery said: Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann Click to expand... Nchi ikiendeshwa na viongozi waongo huwa bei hazishuki.
Watery said: Kuna kitu hakiko sawa hapa, inabidi kitu kifanyike, serikali isipoingilia kati uchumi utaharibika Ni trent hapa tanzania kitu kikipanda bei ni shida sana kushuka bei, kwann Click to expand... Nchi ikiendeshwa na viongozi waongo huwa bei hazishuki.